Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serengeti imecheza fainal za Africa,Yanga imejeza makundi confederations.Hajafanikiwa kuipandisha tz kisoka!!
Rafiki yangu usiniudhi![HASHTAG]#MalinziOut2017[/HASHTAG]
Upuuzi mtupu, stars ya ngapi fifa ranking??Serengeti imecheza fainal za Africa,Yanga imejeza makundi confederations.
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.Naona mnakuja kwa kasi kwa hiyo sasa iv ndo mnaona malinzi anafaa posho tayari nn?
Unadhani hao unawapigia debe wataipeleka wapi? kuwa ya ngapi?Upuuzi mtupu, stars ya ngapi fifa ranking??
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.Swali siyo kafanikiwa wapi,bali ni wapi hajafanikiwa? Viva Jamal Emily Malinzi.
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.Yaani mikia haieleweki nini inataka na mwaka huu tumeyabana kotekote,hapa Malinzi,pale Mayai kule Madega.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unataka kuniambia bora kubaki na malinzi??Unadhani hao unawapigia debe wataipeleka wapi? kuwa ya ngapi?
Mbona chato kuna uwanja wa ndege na taa za barabatrani? Kipya ni nini? pamoja na kuwa hakuna hilo unalilodhaniaBila shaka utakuwa muhaya