UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hutaki angalia muda na saa naandika sijawahi kosea ninachoandika saa sita mpaka saba usiku

Najua wengine wanajua wanashiriki kupambana na Malinzi na lengo haswa wawepo kwenye zile kamati zao

Napenda kuwahakikishia katika wote hakuna wa kupambana na Mh. Jamal Malinzi

Makamu wa Rais - Michael Wambura

Narudia sijawahi kosea muda kama huu. Unikumbushe baada ya uchaguzi
 
dude malinzi out, pccb kuweni macho
 
Hutaki angalia muda na saa naandika sijawahi kosea ninachoandika sa sita mpaka saba usiku

Najua wengine wanajua wanashiriki kupambana na malinzi na lengo haswa wawepo kwenye zile kamati zaoo

Napenda kuwahakkikishia Ktk wOteee hakuna wa kupambana na MH JAMAL MALINZI

MAKAMU WA RAISI-MICHAEL WAMBURA....

NARUDIA SIJAWAHI KOSEA MDA KAMA HUU. UNIKUMBUSHE BAADA YA UCHAGUZI
Bila shaka utakuwa muhaya
 
Back
Top Bottom