Mkuu shukrani kwa hilo angalizo.Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
TL for TLSTundu Lissu for TLS
wewe ni muongo na mfitini. sheria inakataza kusambaza uongo.ukifikishwa mahakamani kwa uongo huu utasema umeonewa????Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Tetesi siyo chanzo kizuri cha habari za kuaminikaKuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Kwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushiKuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?