Tetesi: UCHAGUZI TLS: Mawakili wa serikali(TAMISEMI) "kufundwa" kesho Arusha, kura zao zaleta hofu

Tetesi: UCHAGUZI TLS: Mawakili wa serikali(TAMISEMI) "kufundwa" kesho Arusha, kura zao zaleta hofu

Kama Lissu anaogopwa hivi kwenye chaguzi kama hizi hivi ikitokea Ukawa wamsimamishe Lissu 2020 aisee sipati picha nguo zote za nchi zitatikisika na mataifa yote yatajua kuwa Tanzania ni Zimbabwe nyingine.
 
Ikitokea Lissu kapita na mazongezonge yote ya serikali basi ni dhahiri nyota yake itang'aa x1000 na ile ya mkulu inafifia kwa magnitude hiyo hiyo.Tanzania ya viwanda na hekaya za Abunuasi.
 
Tunapenda kuwaita "Mawakili Wasomi", naomba muwaamini. Watachagua mtu wanayeona anafaa kuwaongoza. Wale wenye interest zao nawashauri waitishe chaguzi kwenye vyama vyao wachaguane na kufanyiana mizengwe huko huko. Leave TLS alone.
 
Kabisa amezoea kutenda makosa na kusingizia menginem Wiki hii anasingizia ya uchaguzi wa TLS sababu anajua hawezi kuchaguliwa na wanaojielewa. Na pia wenzake wawili wale wapo juu zaidi yake.

Nashangaa kwqnza wote wqtatu hawafai kuwania kabisaaaaaa.

Kwani wewe ni ni mwana TLS? if not, stay out of this. They don't need your opinion.
 
hapo ndipo tutajua tz ina mawakili au mawakala wa sisiemu
 
secret ballot must be obeyed... all de best on u coming election... mchagueni kiongozi atakayesimamia haki za watanzania..
 
Na Julius S. Mtatiro

NJIA TATU ZA KUMZUIA TUNDULISSU ASIWE RAIS WA TLS...

Moja ni kutuma difenda 100 za Polisi ziwakamate mawakili wote na kuwaweka Central Police Arusha.

Ya pili ni Dr. Mwakyembe aifute TLS muda huu akiwa nyumbani kwake.

Ya tatu ni JECHA afuatwe sasa hivi kutoka Zanzibar.

Njia zote zina madhara yake;

Madhara ya njia ya kwanza ni pale MAWAKILI watakapopewa dhamana, watarudi na kumchagua TUNDULISSU kwa kishindo.

Madhara ya njia ya pili ni kwamba, hivi sasa Mwakyembe hajiamini tena, uamuzi wake wowote unaweza kutenguliwa na mtu yeyote, hata MIMI!

Madhara ya njia ya tatu ni kwamba, JECHA si mjumbe wa TLS.

Nawaona nawaonaaaa....

[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG].
 
Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani

Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.

Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji

TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao

Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
chadema ikishinda tls mjue ni faul wamecheza. msifikiri ccm yenye dola itakaa kimya huku wabaya wake wakigeuza tls ukawa. muadhirika hapo atakua tls.
 
Back
Top Bottom