share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Mawakili wenyewe wa serikali makanjanja ile mbaya. Hawawezi kushinda hata kesi ya kuku. Waachwe wafundwe Kama Mabibi yanayosubiri kuolewa. Mtu mwenye taaluma yake hafundwi.Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?