Uchaguzi TLS: Ni Mwabukusi vs Nkuba. Serikali imeshatia Mguu

Uchaguzi TLS: Ni Mwabukusi vs Nkuba. Serikali imeshatia Mguu

Kura wapige wote ndio HAKI.

Muhimu RUSHWA na mashinikizo yasiwepo.
nashindwa kuelewa, wakili wa serikali ana haki ipi kupiga kura TLS chama ambacho primarily ni cha mawakili wa kujitegemea na kunalinda maslahi ya mawakili wa kujitegemea? na kwanini wakili wa serikali anapiga kura kote, kwa rais wa mawakili wa serikali na rais wa TLS wakati wakili wa kujitegemea anapiga kwa TLS peke yake kule kwa rais wa mawakili wa serikali haruhusiwi kupiga. nieleweshe hapo.
 
Ni aibu kwa
JamiiForums
Active
@ Admin
Maxence Melo

Kukosa live updates kutoka dodoma
Umekurupuka. Wewe siku zote ni kulaumu tu

 
Back
Top Bottom