Wakuu, Leo ndio leo, ni kivumbi na kijasho, hatma ya Urais TLS kugundulika leo. Uchaguzi wa Rais wa TLS uliokuwa unasubiriwa kwa hamu, kufanyika leo Agosti 2, 2024. Je nani ataibuka mshindi kati ya wagombea hawa sita? Kama ulikosa mdahalo wa wagombea hawa pita hapa Mdahalo wa Wagombea Urais...