kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Nibaada ya kindumbwendumbwe cha uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha DODOMA (UDOM), uchaguzi ulofanyika leo tarehe 7 may 2011 licha ya kuhailishwa jana
baada ya dosari zilizo husisha kukosekana kwa baadhi ya majina ya wagombea, na tume kutohaminika uchaguzi ulihailishwa na kufanyika leo juma pili. hali ya uchaguzi ilikuwa tulivu,zoezi liliendelea vizuri likisimamiwa na mwenyekiti wa tume mr Asali Issa (BAED 3rd year). mwanadada pekee kwa jina la DEBORA, amejinyakulia ushindi wa kura nyingi sana akimuangusha asimu wake BASHE (kura rasimi hazija tangazwa). BASHE alionekana kukosa mvuto baada ya kujulikana ana undugu na BASHE wa TABORA aliyesimamishwa na ROSTAM. hali ya wanafunzi ni chereko, wakishangilia ushindi mkubwa si wanawake tu hata wanaume. sura ya kisiasa inaonesha udini umesababisha mabo kuwa kama hivi akwani yalisikika na baada ya uchaguzi wanachuo walionekana kushangilia YESU YESU YESU AMESHINDA. habari zaidi ndugu wasomaji zitazidi kuwafikia kadiri tunavyo zipata.
tofautishakati ya shehe kwa maana ya mzee na sheikh kwamaana yakiongoz wa din hakuna sheikh aliesema anamlinda rais tz bt yupo mzee aliesema hivyo.we unazan mtu aliesaliti kiapo chamungu kumtumikia milele atawaacha salama watanzania?jaribu kufikiri kama mahakamani unatolewa ushahd mchumba wangu anamimba angekuwa rais siaibu kwa taifa kupata mtoto nje ya ndoa ikulu,ikulu kuna bar gani pale =iliwachumba waende bila kuoana
SI WAMESHANGILIA KWA YESU YESU ukichunguzautagundua hao niwale wenzetu wa kule kaskazn kwa mwenyekiti wetu
kwanini mnapenda sana
kuchanganya mambo ya siasa na dini??
inasikitisha sana kuona hivi..
hivi ndivyo chadema inavyolea vijana wake, kwa kweli ni kazi kubwa
hivi ndivyo chadema inavyolea vijana wake, kwa kweli ni kazi kubwa
naomba msaada kwenye RED hapochuo umeenda kukua wewe
upo
college ya education ndio
maana mawazo yako yamekaa
ki ualim ualimu 2 Na kama
ungekua social science na jana
kama
ungehudhuria public lecture ya
prof issa shivji chimwaga hall
usingepost hii status
kabisaa
na mambo kama haya
kuyapost humu ni kukishushia
hadhi chuo watu wanatuchora
wanatuona wajinga kumbe
wajinga mpo wachache
mnaotafuta sifa za
kizamani.ushaona vyuo vingine
wana viherehere vyj kupost
humu kwani wenyewe hawana
matukio? Mambo kama haya
yaleteni udom chamber
tuyajadili wanafunzi 2
Mkuu, ulipojiunga humu hiyo juzi ulitakiwa kubisha hodi kwanza. Yaani wewe unajiunga kimya kimya na kuanza kashfa? Una maana waliomchagua huyo mshindi wote ni wa kaskazini?SI WAMESHANGILIA KWA YESU YESU ukichunguzautagundua hao niwale wenzetu wa kule kaskazn kwa mwenyekiti wetu