Nibaada ya kindumbwendumbwe cha uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha DODOMA (UDOM), uchaguzi ulofanyika leo tarehe 7 may 2011 licha ya kuhailishwa jana
baada ya dosari zilizo husisha kukosekana kwa baadhi ya majina ya wagombea, na tume kutohaminika uchaguzi ulihailishwa na kufanyika leo juma pili. hali ya uchaguzi ilikuwa tulivu,zoezi liliendelea vizuri likisimamiwa na mwenyekiti wa tume mr Asali Issa (BAED 3rd year). mwanadada pekee kwa jina la DEBORA, amejinyakulia ushindi wa kura nyingi sana akimuangusha asimu wake BASHE (kura rasimi hazija tangazwa). BASHE alionekana kukosa mvuto baada ya kujulikana ana undugu na BASHE wa TABORA aliyesimamishwa na ROSTAM. hali ya wanafunzi ni chereko, wakishangilia ushindi mkubwa si wanawake tu hata wanaume. sura ya kisiasa inaonesha udini umesababisha mabo kuwa kama hivi akwani yalisikika na baada ya uchaguzi wanachuo walionekana kushangilia YESU YESU YESU AMESHINDA. habari zaidi ndugu wasomaji zitazidi kuwafikia kadiri tunavyo zipata.