Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Umelipwa TSH. 7,000/= kuja kuandika haya.Tusijali kuhusu hawa electronic gangsters anaowasema Polepole.
Kwa sababu watu wanaichagua CCM kutokana na maendeleo wanayoyaona; barabara,hospitali shule.
Dosari ni kwamba Chadema hawajashirikishwa.
Serikali iwape ruzuku Chadema waingie katika Uchaguzi.
Huyu jamaa hajalipwa na yuko vizuri tu ila ameongea ki utu uzima,, kuna jambo anajua.Umelipwa TSH. 7,000/= kuja kuandika haya.
Nimeambiwa kuandika haya.Umelipwa TSH. 7,000/= kuja kuandika haya.
Hamna wajinga wa kudumu,na umoja wa uovu haudumu. Maendeleo yanaletwa na kodi zetu sio uwepo wa ccm madarakani.Tusijali kuhusu hawa electronic gangsters anaowasema Polepole.
Kwa sababu watu wanaichagua CCM kutokana na maendeleo wanayoyaona; barabara,hospitali shule.
Dosari ni kwamba Chadema hawajashirikishwa.
Serikali iwape ruzuku Chadema waingie katika Uchaguzi.