Watanzania tumetoka katika uchaguzi siku chache zilizopita lakini jirani zetu wa Uganda wanaelekea katika uchaguzi siku chache zijazo.
Mlio na nafasi jaribuni kufuatilia katika TV za Uganda hasa wale wachambuzi wa siasa kama mimi, kuna la kujifunza!
Zingatieni usemi huu,"Nitajie rafiki yako nijue tabia yako"