Uchaguzi 2020 Uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watakaopenya

Uchaguzi 2020 Uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watakaopenya

Naam naunga mkono hoja Wapinzani ni watu wa kupuuzwa tu na kuwanyima kura
 
Kawe Alumni,
wapinzani watashinda kwa kishindo kwenye boksi la kura ila wataadhibiwa na hawa
86970584_127583522124626_5032608563080462336_n.jpg
 
Leta hoja
Wapinzani mkiishiwa hoja mnaanza kubweka na matusi
Huu ni uharo wa lumumba, upinzani usingekua na nguvu basi mwenyekiti wa CCM asingekua na hofu kuu aliyonayo. Anaujua ukweli, labda ni ninyi tu vichwa vya panzi wa lumumba ndio mnaishi kwenye dunia ya kufukirika.
Si mnamsikia 'graduate' mwenzenu wa lumumba ndugu bashite anavyoachia uharo kila akifungua domo lake? akili hamna.
 
Baada ya Wapinzani kudekekezwa sana Mzee kikwete, sasa ni dhahiri bila mbeleko hawa watu hawawezi kupenya popote

Ukiangalia wabunge wengi walioshinda Upinzani mwaka 2015 ni wale waliodhulumiwa Ccm wakaamua kwenda upande wa pili kichukua ubunge

Kwasasa wote wamerejea nyumbani

Upinzani wana hali mbaya
Hawaaminani Wenyewe kwa wenyewe

Wananchi wamewakataa wamebaki kusubiri mikutano ya Rais wetu mpendwa Magufuli wapate cha kutukana mitandaoni

Wameishiwa kwisha kabisa

Huu mwaka wapinzani wakipata hata wabunge watano watambike

Target ya kwanza ni kuondoa wabunge wote wasaliti wa nchi bungeni

Mwaka wa Ccm kuvuna mazao bora

Ahsante Rais wetu mpendwa Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake
Hata 2010 2015 ilisemwa hivo hivo,je mnao polisi wa kutosha wa kuwapa ushindi vituo vyote?
 
Si useme tu ukweli kuwa wataadhibiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ............ Tume za Kijecha jecha!!
 
Baada ya Wapinzani kudekekezwa sana Mzee kikwete, sasa ni dhahiri bila mbeleko hawa watu hawawezi kupenya popote

Ukiangalia wabunge wengi walioshinda Upinzani mwaka 2015 ni wale waliodhulumiwa Ccm wakaamua kwenda upande wa pili kichukua ubunge

Kwasasa wote wamerejea nyumbani

Upinzani wana hali mbaya
Hawaaminani Wenyewe kwa wenyewe

Wananchi wamewakataa wamebaki kusubiri mikutano ya Rais wetu mpendwa Magufuli wapate cha kutukana mitandaoni

Wameishiwa kwisha kabisa

Huu mwaka wapinzani wakipata hata wabunge watano watambike

Target ya kwanza ni kuondoa wabunge wote wasaliti wa nchi bungeni

Mwaka wa Ccm kuvuna mazao bora

Ahsante Rais wetu mpendwa Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake

wewe wasema ...na wengine wasema tofauti..mwisho wa siku nyote mwasema...
 
Kama kuna ambae atapuuza haya maneno na apuuze,Ila cha msingi wanamageuzi wasikubali kuingia kwenye uchaguzi bila tume huru,

Kujiamini namna hii kwa ccm ni kwa sababu tume,polisi,wakurugenzi wapo kwa maslahi mapana ya kuhakikisha ccm inashinda kwa namna yeyote,

Mageuzi ni gharama bwana,kwa hali na mali kama kuna mwana mageuzi anadhani mageuzi yatapatika kwa kuandika na kulalama kwenye key later za simu imekula kwake,CCM kwenye sanduku la kura haina huruma hata chembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Selfishness ndiyo shida mkuu, tofauti na wenzetu weupe ambao serikali ipo kwa ajiri ya ustawi wa jamii husika, Kwa mtu mweusi madaraka ni nafasi nzuri ya kuishi maisha ya anasa na kujitofautisha na wengine ambao they don't have, rejra kauli ya Doctor Trump kuhusu Africa, Shithole countries
 
Hata huyu nzi aliyetumwa kaja kwasababu kapewa elfu saba ili aje awadanganye mamilioni ya Watanzania
 
Back
Top Bottom