Uchaguzi 2020 Uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watakaopenya

Naam naunga mkono hoja Wapinzani ni watu wa kupuuzwa tu na kuwanyima kura
 
Leta hoja
Wapinzani mkiishiwa hoja mnaanza kubweka na matusi
 
Hata 2010 2015 ilisemwa hivo hivo,je mnao polisi wa kutosha wa kuwapa ushindi vituo vyote?
 
Si useme tu ukweli kuwa wataadhibiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ............ Tume za Kijecha jecha!!
 

wewe wasema ...na wengine wasema tofauti..mwisho wa siku nyote mwasema...
 
Kama kuna ambae atapuuza haya maneno na apuuze,Ila cha msingi wanamageuzi wasikubali kuingia kwenye uchaguzi bila tume huru,

Kujiamini namna hii kwa ccm ni kwa sababu tume,polisi,wakurugenzi wapo kwa maslahi mapana ya kuhakikisha ccm inashinda kwa namna yeyote,

Mageuzi ni gharama bwana,kwa hali na mali kama kuna mwana mageuzi anadhani mageuzi yatapatika kwa kuandika na kulalama kwenye key later za simu imekula kwake,CCM kwenye sanduku la kura haina huruma hata chembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Selfishness ndiyo shida mkuu, tofauti na wenzetu weupe ambao serikali ipo kwa ajiri ya ustawi wa jamii husika, Kwa mtu mweusi madaraka ni nafasi nzuri ya kuishi maisha ya anasa na kujitofautisha na wengine ambao they don't have, rejra kauli ya Doctor Trump kuhusu Africa, Shithole countries
 
Hata huyu nzi aliyetumwa kaja kwasababu kapewa elfu saba ili aje awadanganye mamilioni ya Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…