Uchaguzi 2020 Uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watakaopenya



Kuna kitu watu wanapaswa kujua.

Kununua baadhi ya viongozi wa upinzani hapa nchini sio kununua wapiga kura.

Hakuna kosa baya kama kudhani unavyotaka wewe ndivyo wengine wanavyotaka.


Time will tell.
 
Mwehu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaskini, Ujinga na Maradhi hawa jamaa watatu bado wanalitafuna hili taifa letu.

Kuruhusu kurudisha mfumo wa chama kimoja ni umbumbumbu wa milele ni laana!!
 
Hakuna kiongozi yoyoye wa chama cha siasa anayeombea chama kingine kipate viti aidha udiwani, ubunge au urais. Sema huwa wanakubali matokeo baada ya uchaguzi. Hivyo nakubaliana na hoja za Mzee Mangula na Dk. Bashiru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…