Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBISHI KAMA BUSHA HAWEZI KUKUBALI YAAANI ANAONAKABISA WAJUMBE WANATUNZWA NA MBOWE HALAFU ANAKOMAZA SHINGO SAS ANDIYO ATAKOSA HATA UBALOZI CHADEMA INGEKUWA WANANCHI NDIYO WAPIGA KURA NAGEPATA WAJUMBE ASAHAUNafahamu kuwa watu wengi wako nyuma yako na unapendwa sana lakini ukumbuke uchaguzi unaokuja utashindwa kwa mizengwe. Wewe kuubali yaishe na uendelee kuijenga CHADEMA.
Atashinda au atashiNDWA? Ulichoandika hakiendani na ulichosema kwenye title ya andikoNafahamu kuwa watu wengi wako nyuma yako na unapendwa sana lakini ukumbuke uchaguzi unaokuja utashindwa kwa mizengwe. ..