CCM ndicho Chama kilichoshinda uchaguzi wa jumla.
Kwa upande wa Urais, ni John Pombe Joseph Magufuli.
Ushindi wa CCM na Magufuli ulimaanisha nini?
1. Magufuli alishinda kwa sababu alibebwa na ukubwa wa CCM?
2. CCM ilishinda kwa sababu ilibebwa na umaarufu wa Magufuli?
Kipi ni kipi?