Uchaguzi wa 2015: CCM ilimbeba Hayati Magufuli au yeye ndiye aliibeba CCM?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
CCM ndicho Chama kilichoshinda uchaguzi wa jumla.

Kwa upande wa Urais, ni John Pombe Joseph Magufuli.

Ushindi wa CCM na Magufuli ulimaanisha nini?
1. Magufuli alishinda kwa sababu alibebwa na ukubwa wa CCM?

2. CCM ilishinda kwa sababu ilibebwa na umaarufu wa Magufuli?

Kipi ni kipi?
 
Na. 2
 
Waliiba kura nchi nzima mbwa wale, ule haukuwa uchaguzi, maigizo tuu ili beberu asikate misaada
 
Back
Top Bottom