Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?


Paskali acha kuambatanisha hayo mabandiko yako ya zamani, ambatanisha hata mistari ya vitabu vitakatifu, bila tume huru ya uchaguzi hakuna mtu anayejitambua atashiriki huo ushenzi. Siku kukiwa na tume huru ya uchaguzi ndio uje na haya mapamphlet yako kwa cdm.
 
Hebu acheni kutuchekesha Ikulu wataendaje ili hali Dola inailinda chama cha Kijani
 
Ilani ya Chadema 2015 tuliambiwa tuasome kwenye tovuti sababu walichelewa kuichapisha, baada ya uchaguzi ikasahaulika kabisaaa. Wenye simu ya vitochi ikala kwetu, Mwenzetu uliiona wapi?
 
Bora kuchelewa kuliko kukosa kabisa, kidogo naweza kuwaona wakirudi kwenye njia ile aliyokuwa anawaongoza dr. Slaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Paskali nataka kukuhakikishia kuwa
kwa mwandishi kama wewe unapaswa kutumia kalamu yako kuelemisha jamii,badala ya kutia jamii hofu.
Mkuu Nanyaro, karibu mitaa hii uone jinsi nilivyoitumia kalamu yangu vizuri kuishauri Chadema.
P
 
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Mkuu Kishina cha Mshahara, kwanza naomba kukiri, ninaheshimu mawazo yako, ila kwenye uchaguzi, ni kweli kuna mtu amefanya the right timing na mtu ni too late too little!.

Niliwahi kuuliza hivi humu
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?!.

Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

Majibu ya swali hili ni tarehe 28 October,
Kuna mtu atalia na kuna mtu atacheka!. He who cries last cries most, and he who laughs last laugh most!.
P
 
Pascal Mayalla Huyo Ni mshabiki Lia Lia wa chadema Ni ngumu kukuelewa kwa wakati Huu hizo Ni hasara ya kutanguliza maahaba badala ya akili.
 
This is good, chelewa ufike, hili lilipaswa kufanyika toka 2010 ili 2015 Chadema ichukue nchi, japo sasa its already too little too late, but something is better than nothing.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…