Pre GE2025 Uchaguzi wa BAWACHA nafasi ya Mwenyekiti kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa

Pre GE2025 Uchaguzi wa BAWACHA nafasi ya Mwenyekiti kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..Mbowe apinge kuwekwa kwenye mabango ya Ccm.

1737171141411.png
 
Mwambieni Ayatolah Nkurunzinza kagame Mugabe Mbowe aende kwenye biashara si anasena anazo biashara??? Ambazo hatuzijui sasa shida ni nn?
 
Hapo aliyeongoza atashindwa kwa sababu wa nyuma wataungana. Na hskuna nafasi ya kufanya mipango tena
 
Kwakua simpendi Lissu?? Unataka niwe taahira kama wewe nikubali kila ujinga wa Lissu?
Una shida ya akili, Lisu mliyemsimamisha agombe urais leo anakuwa mjinga? Basi ndio maana chama chenu kimejaa wajinga kama wewe maana mlitaka kutuletea mjinga aongoze nchi.
 
Unafikiri chuki zako zitasaidia chochote? Kiuhalisia hata uwezo wa kufanya kampeni hamna, mnachofanya ni kutukana tu, halafu mnajiwahi kushambulia wengine kuwa wanaropoka. Mpaka sasa hakuna hata mmoja wenu aliyesema mnayemtaka atafanya nini.
 
Una shida ya akili, Lisu mliyemsimamisha agombe urais leo anakuwa mjinga? Basi ndio maana chama chenu kimejaa wajinga kama wewe maana mlitaka kutuletea mjinga aongoze nchi.
Hawana hoja wala sera, hao ndiyo wanakivua ngua Chama chao kwa kukifitinisha na watanzania kuwa waliwapelekea mtu mjinga na mhuni akagombee urais
 
Back
Top Bottom