Uchaguzi wa CCM Hai Kilimanjaro waingia dosari , iundwe Tume ya CCM kufuatilia

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.

Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.

Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa kitaifa vinginevyo chama kinaelekea kusiko julikana.
 
Idadi ya waliojiandikisha ikizidi waliopiga si tatizo,kinyume chake ndio tatizo.
Au umekosea kuandika?
Ccm kwao wizi ni uji na mgonjwa,kaa kwa kutulia
 
Naamini Tanzania Mpya itazaliwa na katiba Mpya!

Mtu atachaguliwa kwa hoja na sio kwa idadi ya rushwa akiyotoa!!

Mungu ibariki TANZANIA Mpya
 
Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.

Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.

Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa kitaifa vinginevyo chama kinaelekea kusiko julikana.
Kubali matokeo kuwa umeshindwa.
Kama watu wamejiandikisha na hawajapiga kura hapo tatizo hapo.
Tatizo ingekuwa endapo waliopiga kura ni wengi kuliko waliojiandikisha.
 
Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.

Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.

Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa kitaifa vinginevyo chama kinaelekea kusiko julikana.
Umeandika bangi mzee, kasome tena uzi wako..kwanini mnakuwa na papala za kuandika?
 
Idadi ya waliojiandikisha ikizidi waliopiga si tatizo,kinyume chake ndio tatizo.
Au umekosea kuandika?
Ccm kwao wizi ni uji na mgonjwa,kaa kwa kutulia
Mbona hiyo ni kawaida chaguzi zetu? Ukizoea kula nyama ya mtu...
 
mnashida sana chadema nyinyi ni panya road hamna tofauti . hai mbowe alishidwa mkasema sabaya kasababisha leo tena sijui nini
 
mawazo ya chadema katiba mpya ndi itawafanya kuingia madarakani sahau katiba ndio itawamwliza kabisa
 
Kwa uchaguzi uliofanyika Hai, katibu wa ccm wawilaya ameonyesha kuwa nafasi aliyonayo hakustahili na ana uwezo .
Pili ,chadema wamefanya sherehe kwa ushindi wa ccm Hai, ni nini tafsiri yake.
 
Back
Top Bottom