peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuna shida gani kwenye hili??Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.
Kuna shida gani kwenye hili??Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.
Idadi ya waliojiandikisha ikizidi waliopiga si tatizo,kinyume chake ndio tatizo.Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.
Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.
Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa kitaifa vinginevyo chama kinaelekea kusiko julikana.
Kubali matokeo kuwa umeshindwa.Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.
Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.
Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa kitaifa vinginevyo chama kinaelekea kusiko julikana.
Umeandika bangi mzee, kasome tena uzi wako..kwanini mnakuwa na papala za kuandika?Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.
Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.
Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa kitaifa vinginevyo chama kinaelekea kusiko julikana.
Mbona hiyo ni kawaida chaguzi zetu? Ukizoea kula nyama ya mtu...Idadi ya waliojiandikisha ikizidi waliopiga si tatizo,kinyume chake ndio tatizo.
Au umekosea kuandika?
Ccm kwao wizi ni uji na mgonjwa,kaa kwa kutulia
Liuchaguzi ni la CCM, mnaibiana kura zenu kisha mnataja Chademamawazo ya chadema katiba mpya ndi itawafanya kuingia madarakani sahau katiba ndio itawamwliza kabisa