Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Unadanganya.Uchaguzi wa ndani CCM unaenda vizuri.
Bado tunasubiri kuona Uchaguzi ndani ya vyama vingine.
Lakini tunasikitika kuhusu Chadema kwamba haitakuwa katika Uchaguzi Mkuu.
Judges 21:6
Today Israel has lost one tribe.
Lakini utakuwa uchaguzi wa mwisho wa kijinga kutokea Tanzania chuni ya kiongozi debe tupu! Utaingia kwenye historiaHakuna uchaguzi mkuu zaidi ya huu, huku ukishapita ndio basi tena labda boss asikupende au mambo ya kubalance tuu ili kupunguza kelele