Uchaguzi wa CCM unaoendelea ni balaa, huko Kilimanjaro Mgombea asingiziwa kuwa ni kichaa

Uchaguzi wa CCM unaoendelea ni balaa, huko Kilimanjaro Mgombea asingiziwa kuwa ni kichaa

Huko Kilimanjaro, Mmoja wa Wagombea wa Uenyekiti wa Mkoa, ndugu Alphonce Temba wakati wa kujieleza , alikumbana na swali la Mjumbe 'aliyepangwa' ambaye alimuuliza kwamba kwanini anagombea uenyekiti wa Mkoa wakati mwaka 2018 alitangazwa kuwa ni Kichaa?
Dawa yake ni kufuta hicho wanachogombea huko mbele ya safari, kama ni fedha nyingi basi zipunguzwe ili wenye tamaa ya pesa wajiengue wabakie wenye nia njema ya kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati
 
Ndio maana mwanachama mwenye kadi namba 3 ambaye kwasasa ni Marehemu aliwahi kusema Chama kimeishiwa pumzi,Sasa kimeanza kujiidhihilisha
 
Unafananisha UVUNJIFU wa Katiba ya nchi na upuuzi wa kusingiziana Maradhi ? halafu huwa hamjifunzi tu wako wapi walimtukana Lowassa kwamba ni mgonjwa , akiwemo Sitta na Kombani
Bado hukujibu "Hoja" bali umeendeleza vi-hoja kama kawaida!
Lete Facts acha longolongo!
 
Back
Top Bottom