Uchaguzi wa CCM unaoendelea ni balaa, huko Kilimanjaro Mgombea asingiziwa kuwa ni kichaa

Dawa yake ni kufuta hicho wanachogombea huko mbele ya safari, kama ni fedha nyingi basi zipunguzwe ili wenye tamaa ya pesa wajiengue wabakie wenye nia njema ya kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati
 
Ndio maana mwanachama mwenye kadi namba 3 ambaye kwasasa ni Marehemu aliwahi kusema Chama kimeishiwa pumzi,Sasa kimeanza kujiidhihilisha
 
Unafananisha UVUNJIFU wa Katiba ya nchi na upuuzi wa kusingiziana Maradhi ? halafu huwa hamjifunzi tu wako wapi walimtukana Lowassa kwamba ni mgonjwa , akiwemo Sitta na Kombani
Bado hukujibu "Hoja" bali umeendeleza vi-hoja kama kawaida!
Lete Facts acha longolongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…