Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake.
Upepo unaonesha FAM anakubalika kwa pungufu ya 23% kwa ujumla wake. Kuendelea kushupaza shingo na watu wachache wanaomshauri FAM, ndo kinachokwenda kuifutilia mbali CHADEMA katika historia yake.