Kweli tupuUchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake.
Upepo unaonesha FAM anakubalika kwa pungufu ya 23% kwa ujumla wake. Kuendelea kushupaza shingo na watu wachache wanaomshauri FAM, ndo kinachokwenda kuifutilia mbali CHADEMA katika historia yake.
Nani wa kukiua? Yaan huyu TAL ndio wa kukiua chama? Tuwe serious aisee. Au we ni mgeni na siasa za bongo?Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake.
Upepo unaonesha FAM anakubalika kwa pungufu ya 23% kwa ujumla wake. Kuendelea kushupaza shingo na watu wachache wanaomshauri FAM, ndo kinachokwenda kuifutilia mbali CHADEMA katika historia yake.
Wanaotaka CDM ife watakafa wao, na tayari alishakufa mtu mmoja aliyetaka kuiua CDM.Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake.
Upepo unaonesha FAM anakubalika kwa pungufu ya 23% kwa ujumla wake. Kuendelea kushupaza shingo na watu wachache wanaomshauri FAM, ndo kinachokwenda kuifutilia mbali CHADEMA katika historia yake.
HAPO NA DHANI HUJAELEWA KUWA WANAOMKUBALI KAMA UNAVYOSEMA NI WATU WA MITANDAONI NA WATU WA NJE YA MFUMO WA CHAMA SASA MBOWE ANAKUBALIKA NA KANDA NYINGI KULIKO LISSU KWA WAJUMBE AMBAO WANAPIGA KURA KUMCHAGU AMWAMBA HAO WANAOANDIKA MITANDAONI HAWAPIGI KURA HIVYO MNAJIDANGANYA KUMWAMBIA LISSU ANAKUBALIKA WAKATI HANA WAJUMBE WA KUMCHAGUA MBOWE MITAN TENAUchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake.
Upepo unaonesha FAM anakubalika kwa pungufu ya 23% kwa ujumla wake. Kuendelea kushupaza shingo na watu wachache wanaomshauri FAM, ndo kinachokwenda kuifutilia mbali CHADEMA katika historia yake.
unamaanisha sasa hivi kimekufa ila sio kabisa.Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake.
Upepo unaonesha FAM anakubalika kwa pungufu ya 23% kwa ujumla wake. Kuendelea kushupaza shingo na watu wachache wanaomshauri FAM, ndo kinachokwenda kuifutilia mbali CHADEMA katika historia yake.
Ndo maana nimesema, ni kuamua kuwakumbatia wapambe wachache na kuua chama au kusikiliza hata maoni ya walio wengi lakini wapo nje ya mfumo wako, kwa sababu kuna watu wapo nje ya mfumo ambao wanaweza kuwa wazuri zaidi kuliko waliopo kwenye mfumo.HAPO NA DHANI HUJAELEWA KUWA WANAOMKUBALI KAMA UNAVYOSEMA NI WATU WA MITANDAONI NA WATU WA NJE YA MFUMO WA CHAMA SASA MBOWE ANAKUBALIKA NA KANDA NYINGI KULIKO LISSU KWA WAJUMBE AMBAO WANAPIGA KURA KUMCHAGU AMWAMBA HAO WANAOANDIKA MITANDAONI HAWAPIGI KURA HIVYO MNAJIDANGANYA KUMWAMBIA LISSU ANAKUBALIKA WAKATI HANA WAJUMBE WA KUMCHAGUA MBOWE MITAN TENA
Actually,Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake.
Upepo unaonesha FAM anakubalika kwa pungufu ya 23% kwa ujumla wake. Kuendelea kushupaza shingo na watu wachache wanaomshauri FAM, ndo kinachokwenda kuifutilia mbali CHADEMA katika historia yake.
CCM wanamhitaji zaidi FAM kuliko wanavyowahitaji hata wana CCM wengine.Inasikitisha sn, inashangaza sn. Yani et ccm wanampigania Mbowe,!ila anajidhalili sn huyu mbowe kwa kusaidiana na ccm kubaki.
Chadema inahitaji watu kama Lisu,Hehe,Lema nk