Uchaguzi wa CHADEMA haukuwa na unafiki hivyo Lisu anawajua walio wake na wasio wake. Uchaguzi wa CCM bado wanatafakari nia ya Alhaj Kimbisa na Kibajaj

Uchaguzi wa CHADEMA haukuwa na unafiki hivyo Lisu anawajua walio wake na wasio wake. Uchaguzi wa CCM bado wanatafakari nia ya Alhaj Kimbisa na Kibajaj

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Unajua Tundu Lissu amesaidia sana Kufanya Uchaguzi wa Chadema uwe na Uwazi Kwa sababu Wewe usiposema ule ukweli basi yeye atausema

Pamoja na Chadema kuwa na Rundo la Wanafiki akina Mshana Jr, @chiembe,Lucas Mwashambwa na @ retired Lakini Uchaguzi Wao haukuwa na chembe ya unafiq Makamanda walifunguka na kipekee Kabisa niwapongeze Yeriko na Ntobi

CCM Wenyewe bado wanaulizana kuhusu wale Wagogo wawili Alhaj Kimbisa na yule Kibajaj Kwamba mrengo Wao ni upi hasa?!!

Ikumbukwe Alhaj Kimbisa na Emmanuel ni Friends of Lowassa

Ahsanteni sana 😄
 
Unajua Tundu Lisu amesaidia sana Kufanya Uchaguzi wa Chadema uwe na Uwazi Kwa sababu Wewe usiposema ule ukweli basi yeye atausema

Pamoja na Chadema kuwa na Rundo la Wanafiki akina Mshana Jr, @chiembe,Lucas Mwashambwa na @ retired Lakini Uchaguzi Wao haukuwa na chembe ya unafiq Makamanda walifunguka na kipekee Kabisa niwapongeze Yeriko na Ntobi

CCM Wenyewe bado wanaulizana kuhusu wale Wagogo wawili Alhaj Kimbisa na yule Kibajaj Kwamba mrengo Wao ni upi hasa?!!

Ikumbukwe Alhaj Kimbisa na Emmanuel ni Friends of Lowassa

Ahsanteni sana 😄
Naona umeamua kuamka nami Jumatatu hii.. Vipi huko mbogboga mpo kweli? Ah ndio chumba mahututi?
 
Attachments

  • FB_IMG_1737555749105~2.jpg
    FB_IMG_1737555749105~2.jpg
    30.1 KB · Views: 2
Duh,kumbe jamaa bado anakaa kwa wazazi wake,wonders shall never end.
"Kwenu" namaanisha Masaki anakoishi. Yaani mtaani kwao.

Hao ndiyo waliokula mema ya nchi zama hizo watu wa kitengo wanavaa masharti ya vitenge😆😀😃

Huyo jamaa na Mkuchika walikuwa ni mabest na jamaa yao mmoja anakaa mtaa wa Ursino!!
 
Back
Top Bottom