Tetesi: Uchaguzi wa Chadema kanda ya kaskazini waahirishwa, Mbowe anatuhumiwa kuhusika

Tetesi: Uchaguzi wa Chadema kanda ya kaskazini waahirishwa, Mbowe anatuhumiwa kuhusika

Wahusika waje watueleze kwann waliahirisha uchaguzi?

Sababu za kuhama ukumbi sio tatizo sana kwani ukumbi wa Mkonge hotel ni mdogo kulinganisha na Regal Naivera

Lowassa kugombea tena 2020 hata mimi siwaungi mkono, nawashauri wajipange kumuweka mtu mwingine.

Kazi ya kujenga chama cha upinzani ni ngumu sana. Uwaelimishe watu watoke chama tawala wakati huo huo unapambana na nguvu za dola, inahitaji umakini sana.

Ndio maana wakati mwingine inabidi mwenyekiti atumie nguvu za ziada. Hao watu anaotaka kuwaweka kwenye nafasi hizo bila shaka kuna jambo ameliona ndio maana anatumia nguvu za ziada.

Mtakumbuka ZK alivyotimuliwa baada ya kugundulika uhalifu wake, hivi kama bado angekuwepo au angepewa uenyekiti hali ya chama ingekuaje?

Mwacheni Mbowe na chama chake kama mtu anakwazika ni bora ahame au awe kama mm mwanasiasa huru
 
Back
Top Bottom