Uchaguzi wa CHADEMA: Yakitokea haya itakuwaje? Mpasuko hauepukiki

Hatutaki ukupe ndani ya CHADEMA.Mbowe kageuka kuwa Ibrahimu Lipumba wa CUF.
 
Hao wajumbe mkutano mkuu watakuwa ni wasengerema sana wakimchagua tena mbowe kuwa mwenyekiti!.
Miaka 21 madarakani inamtoshwa, awekwe pembeni tupate mbinu mpya za kupambana na ma ccm!
 
Ngojz tuone mtoto wa mjini Mbowe viz a viz mtoto wa kuja Lissu.
 
Acha kumhusisha Mungu kwenye upumbavu unaoendelea CHADEMA
 
Weka sawa, atawapiga kwa sanduku la kura. Vinyago ulivyovichonga mwenyewe kamwe haviwezi kukutisha bwa shee.
Mwanaccm aliyetoa million 250 za mkutano mkuu Siyo Mjinga πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chadema ni TAASISI KUBWA nje ya Chadema wewe ni karatasi tu .....Tuna HAZINA nyingi tu hao waliopo juu wanaonekana kwa sababu NAFASI ZAO....wakiondoka Replacement ipo YAKUTOSHA
Umefanya tathmini huku mashinani hali ipoje au upo nyuma ya keyboard ukiandika mawazo yako tu?
Tuliopo huku site tunauelewa mkubwa sana ukizingatia chama sio viongozi au wajumbe tu, chama ni wanachama
 
Endelea kuota ndoto, chama sio mali ya mtu na awamu hii hilo litajidhihirisha.
Mbowe kawekeza kwenye rushwa akidhani atapata uongozi kwa hongo.
Awamu hii kama ni pesa za Abdul zitaliwa na kura hapati
 
Heche na Lisu akiri yao moja
 
Siasa za New Zealand unafuatilia?
 
Mkiambiwa toa ushahidi mnabakia kuweweseka kama jamaa yenu na mamilioni ya mama abduli
Kama kuwatoa Jela Viongozi wenu mlichangiwa na Shujaa Magufuli itakuwa bajeti ya mkutano mkuu? πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuwajadili akina Halima Mdee mlishindwa Kwa sababu ya ukata sasa unadhani Nondo asingewapa hiyo 250m mngechaguana nyie? 🐼
 
Sina mahaba na mwana , ila kwa hali ya chadema natamani ashinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…