Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanyika leo hapa campus ya Mlimani, wanachama walioitikia ni wachache(kulingana na idadi ya wanachama).
Tupeni matokeo ya uchaguzi.tatizo la chawakawa mlimani ni kuwa viongoz wanafanya kaz mwanzo wa semista 2 lakini kitabu kikikolea nao wanapumzka,kupumzka kwao kunafanya ht wanachama nao kupumzika.sacbu ya pili ni kua kuna mawasiliano hafifu kati ya viongoz na wanachama,na tatu ni kuwa chawakama mliman haina program inazoandaa za kuweza kukifanya chama kionekani kuwa hai mfany uandaaji wa matamasha ya ndani na nje ya chuo.ni hv majuz 2 ndo nmeckia tamasha la ucku wa kisw lakin kwa muda chama kilikua mfu.mimi nilikua kiongoz hapo{mhariri msaidizi}hayo nliyoyasema nlikumbana nayo na kujarbu kuyaondoa kwa kadri ya uwezo we2.miongoni mwa ma2nda ya nafas yng ni kujitahd kwa jitihada binafs kuandaa miswada miwili ya vitabu kutoka katika kaz za wanachama na kuupeleka TATAKI kwa ajili ya uchapishaji,lakin c dhan km viongoz waliopo wamefanya jitihada faafu ili kuhakikisha kuwa vitabu hvyo vimechapwa.na hakuna mrejesho juu ya wapi haswa wamefikia.km mtaendelea hvyo ipo cku chama kitatiwa kwenye jeneza.