The prince 004
Member
- Aug 17, 2012
- 16
- 1
hello wanajamii mimi ni kijana wa kidato cha sita katika shule mojawapo inayofanya vizuri kitaaluma tanzania ila naomben ushauri kwa mliotangulia kuhusiana na uchaguzi wa facult maana ninichukua PCM na nilikuwa nafikiria kuchukua telecommunication/IT/ au civil ENGINEERING sema nina wasiwasi kuhusu upatikanaji wa ajira kwa hapa TZ maana wengi nasikia wako benchi na kuhusu ufaulu wangu namshukuru MUNGU unaridhisha kiasi kwamba unakidhi kwangu kwenda facult yeyote mradi tu unaendana na mchepuo wa PCM sasa naombeni ushauri isije nikawa kituko kwa kuwa na historia nzuri darasani halafu maisha yakanipiga chini! MUNGU akutangulie katika kutoa ushauri wako! karibu!!!