Uchaguzi wa haki na huru CHADEMA, Mbowe kukiri kushindwa kazi iliishia hapo

Uchaguzi wa haki na huru CHADEMA, Mbowe kukiri kushindwa kazi iliishia hapo

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Kitendo cha kuendesha uchaguzi wa haki na huru na Mbowe kukubali kiwa Lissu alishinda kazi iliishia hapo. Iwapo Mbowe asingeruhusu kufanyika uchaguzi wa haki huru na wazi chadema isingekuwepo. Kwa hili nampongeza Mbowe, Lissu na Wanachadema wote. Heshima na msingi wa uimara wa chadema uko hapo na ni kielelezo cha ukomavu wa chadema. Sasa wanaohama ni tamaa tu ya vijisenti hawana jipya, Wenye kuelewa demokrasia ya uchaguzi hawahitaji kuhama kutokana na uhakika wa matokeo ya uchaguzi huo wa 21 Jan 2025. Haya mengine ni makando kando na visingizio tu vya mfama maji. Kaeni mjenge chama. Kazi iliiisha tarehe hiyo wajumbe walifanya maamuzi ya kidemokrasia na yenye heshima kwa wanachama,wananchi, Taifa na ulimwengu kwa upana wake. Hiyo ni legacy kubwa, mengine ni kutapatapa tu, yanafunikwa na uchaguzi huo. wenye nia ya kuibomoa chadema walipaswa watumie mwanya huo kwa usahihi kuubomoa uchaguzi na kukivuruga chama na kusababisha sintofahamu kama ilivyokuwa kwa CUF na NCCR. Kwa kweli ilikuwa fursa nzuri sana baada ya uchaguzi si rahisi tena. Wanaondoka kwa sasa ni ceremonial departure hina impact.
 
Ushaambiwa hata jungu kuu alikosi ukoko.
Hakuna binadamu watakaa waongee lugha moja.
Watu wanasalitiwa na wake zao itakuwa wanachama
 
Kitendo cha kuendesha uchaguzi wa haki na huru na Mbowe kukubali kiwa Lissu alishinda kazi iliishia hapo. Iwapo Mbowe asingeruhusu kufanyika uchaguzi wa haki huru na wazi chadema isingekuwepo. Kwa hili nampongeza Mbowe, Lissu na Wanachadema wote. Heshima na msingi wa uimara wa chadema uko hapo na ni kielelezo cha ukomavu wa chadema. Sasa wanaohama ni tamaa tu ya vijisenti hawana jipya, Wenye kuelewa demokrasia ya uchaguzi hawahitaji kuhama kutokana na uhakika wa matokeo ya uchaguzi huo wa 21 Jan 2025. Haya mengine ni makando kando na visingizio tu vya mfama maji. Kaeni mjenge chama. Kazi iliiisha tarehe hiyo wajumbe walifanya maamuzi ya kidemokrasia na yenye heshima kwa wanachama,wananchi, Taifa na ulimwengu kwa upana wake. Hiyo ni legacy kubwa, mengine ni kutapatapa tu, yanafunikwa na uchaguzi huo. wenye nia ya kuibomoa chadema walipaswa watumie kwa usahihi kuubomoa uchaguzi huo kukivuruga chama na kusababisha sintofahamu kama ilivyokuwa kwa CUF na NCCR. Kwa kweli ilikuwa fursa nzuri sana baada ya uchaguzi si rahisi tena.

Ukweli mchungu:

Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?

Walio tayari kujitathmini wenyewe, karibu; wasiotaka mfaransa anasema "au' revoir."

IMG_20220927_190940_421.jpg


Life goes on!
 
Back
Top Bottom