CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani, yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo.
Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa kuhusu rushwa inayotumika kutoka vyama hasimu nao, makamu mwenyekiti wao ameongoza vita ya kukataa rushwa ndani ya chama chao.
Kanda zenye ushindani ni chache kama vile Nyanda za juu kusini, seeing serengeti na Ziwa Victoria.
Hadi sasa kwa nyanda za juu kusini kuna ushindani na rushwa kubwa ambapo Lissu ametoa ushahidi wa wazi kabisa jambo ambalo mbowe ameshtuka sana na kuchukizwa kuhusu uwezo wa lissu kupata taarifa za ndani kwa usahihi.
Hadi sasa Msigwa ameshakatwa na Sugu anaenda kuchukua nafasi yake, yote hii ni pesa chafu iliyotumika kuwekwa kwenye akaunti ya mwenyekiti Mbowe.
Kanda anayogombea Pambalu na Wenje tayari Wenje kashapita huku pambalu akitakiwa kuwa mweka hazina wa kanda ili kulinda maslahi ya Mbowe.
Hadi hapo baadae tutapata taarifa zaidi na kuzishusha hapa, kwahiyo tuendelee kupita mara kwa mara.
Alaasiri njema.