Uchaguzi wa Kenya kaa la moto kwa Chadema

Uchaguzi wa Kenya kaa la moto kwa Chadema

acha kubwabwaja tuna taka updates za nini kinajiri huko
 
Chadema mbona safari hii kimya? Lowasa hakwenda tena Kenya kumpigia Uhuru kampeni na hatukusikia tena makelele kuhusu "baba wa demokrasia". Kulikoni?
Nasikia rafiki wa Magufuli kakigeuza chama chake cha ODM kuwa cha kigaidi NRM, National Resistance Movement, eti ataingia msituni wamemwambia labda aende msitu wa Chato.
IMG-20171002-WA0090.jpg
 
CHADEMA watakisapoti kitakachotokea kesho Kenya , lkn wanakikataa kilichotokea zanzibar (ukandamizaji wa demokrasia uliofanywa na CCM ) , ila si shangai sifa ya mwanasiasa lazima uwe MNAFIKI.
 
TANO TENA leo anapigwa kwa mara nyingine.

Nasikia rafiki wa Magufuli kakigeuza chama chake cha ODM kuwa cha kigaidi NRM, National Resistance Movement, eti ataingia msituni wamemwambia labda msitu wa Chato.
View attachment 617308
Kiherehere kimekwisha kabisa. Hilo kaa la moto limewababua mikono. Chadema kimyaa.
 
Chadema mbona safari hii kimya? Lowasa hakwenda tena Kenya kumpigia Uhuru kampeni na hatukusikia tena makelele kuhusu "baba wa demokrasia". Kulikoni?
Daaa kama ulitumia muda ukawaza na kuamua kuandika hiki ulichoandika basi akili yako ni mzigo. Sasa chadema au Lowassa angeenda kufanya nin wakati hakukuwa na aina yoyote ya KAMPENI
 
CHADEMA watakisapoti kitakachotokea kesho Kenya , lkn wanakikataa kilichotokea zanzibar (ukandamizaji wa demokrasia uliofanywa na CCM ) , ila si shangai sifa ya mwanasiasa lazima uwe MNAFIKI.
Hawa jamaa sijui wakoje.
 
Back
Top Bottom