Uchaguzi wa Kenya umesababisha haya.....

Uchaguzi wa Kenya umesababisha haya.....

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
habari za usiku

hali ya kisiasa inayoendelea kenya imesababisha wimbi kubwa la wakaazi wa kenya kukimbilia nchi za jirani kupisha joto la uchaguzi

Aidha abiria wamejitokeza kwa wingi sehem mbalimbali za vizuto vya usafiri kwa ajili ya kukata tiket na kuelekea nchi jirani kama tanzania.

Hali iliyosababisha mabus mengi kujaa na upatikanaji wa tiket kuwa mgumu kwa sababu ya mabus kujaa hata yale mabus ambayo yalizoeleka maarufu kwa kubeba mizigo zaidi.

Wakenya wengi bado wako njia panda wasijue kitakachotokea kutokana na homa hii ya uchaguzi hali inayosababisha misururu mirefu kwenye ofisi za uhamiaji na kwenye mipaka,aidha mabus kama Tahmeed Tawakal Modern coast Dar express Dar lux Simba Smart yametia fora kwa kujaa mapema kabla ya muda muafaka kwa siku ya kuanzia kesho.

Nawasihi kama unasafari ya kati ya Tz na Ke ni heri ukazijua changamoto hizo mapema ili uchukue tahadhali



Falcon
 
Hoteli (baadhi) ya Arusha yameanza kuneemeka kutokana na hali hiyo...
 
Uchaguzi kwa nchi za afrika ni ujinga uliokomaa. Badala ya watu kufurahia chaguzi eti africa watu wanapatwa na wasiwasi na kuanza kutoroka makazi yao, yani aibu ya ajabu sana.
 
Fulsa kwa tz kupiga pesa..kwa wanaofanya business za hotel na camp
 
Juzi nilitazama habari moja Toka Citizen tv
Watu wamejaa Nairobi wakitafuta mabasi wakimbilie Vijijini huko!

Yaani kijijini kumekuwa bora Wakati huu!
 
Mleta uzi unahadaika na rangi ya nyumba ya jirani, kaishi humo ndani uone kama maisha ya humo ni raha au karaha
 
Back
Top Bottom