Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,956
Tatizo la Chadema ni pupa, jazba na papara. I hope and wish wataangukia pua....
CCM waanze kampeni zao kwanza. Kwa taarifa ya Dr. Slaa kutoka Karatu, vyama vya upinzani vikiongozwa na Dk. Slaa watakuwa Kiteto tarehe 9 na 10 Februari. Hapo kitaeleweka!
Wambugani[/QUOTE
SITAKI KUWAKATISHA TAMAA BALI NDIO UKWELI HAKUNA NAMNA CHADEMA ITASHINDA UCHAGUZI KULE,INGAWA WANA MGOMBEA AMBAE NAMUHESHIMU SANA KAMA BABA YANGU HASA NIKIKUMBUKA ENZI ZILE NIKICHEZA NA NASERIAN KIMESERA ,MTOTO WAKE MTAA WA MKADINI OBEY.HUYU MZEE WANGU HAUZIKI KULE NA AMEGOMBEA KILA UCHAGUZI BILA KUKOSA TANGU VYAMA VINGI VIANZE,LABDA APEWE KURA ZA HURUMA
Mungu ndiye anjua lini atamlipa mja wake.Nina imani kubwa Victor atashinda.
Masatu, hebu tusaidie kidogo ndugu yangu, "pupa, jazba na papara" ipi ili ikiwezekana tuweze kurekebisha. I know unaweza ukawa unawachukia CHADEMA, lakini why do you wish them bad kiasi cha kusema waangukie pua? Nijuavyo hata adui yako humtakii mabaya kiasi hicho, so why this hatred to this party which is hitherto the only promising alternative to CCM? Hebu nielimishe kidogo hapa ndugu yangu!
Kitila.
Huyo mdaku akija hapa atakupotezea muda tu.
Taarifa za hivi punde ni kuwa CCM wakiongozwa na mzee Malecela wameanza kale ka mchezo ka Tunduru ka kununua shshada za wapiga kura na wameanzia eneo linaloitwa Matui na hapo yupo mzee Malecela mwenyewe akiongoza hujuma hiyo dhidi ya vyama vya upinzani.
Leo mgombea wa usshirikiano wa vyama amerudisha fomu kwa maandamano makubwa yaliyowashirikisha wananchi wengi sana .
Nitawapa kilichojiri huko Matui kwani najaribu kuhakiki taarifa zangu ili nisikosolewe kwa taarifa pungufu ila ni ukweli Malecela alikuwepo akifanya hiyo kazi nitawatajia kiasi cha pesa kinachotumika kununua shahada moja pamoja na mengineyo punde4 stay tuned.

Ndugu subirini mtayaona ya kina na yenye ushahiidi mwaka huu kwani hata anayetupa hizi taarifa ni mtu makini na pia alihusika kununua ila sijataka kuziweka hapa kwanza ni hadi kikosi cha JF kitakaponipatia ushahidi kamili.