Uchaguzi Wa Kozi

Uchaguzi Wa Kozi

Iam__junior

Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
25
Reaction score
29
Habari Wana JF.

Naomba Kuuliza Kipi Hupewa Kipaumbele Katika Uchaguzi Wa Kozi.??

Ama Nini Mtu Aweze Kuangalia Katika Uchaguzi Wa Kozi.??

NB:Achana Na Ajira
 
Soma kitu kirahisi sana unachoweza hakika utatoboa sana sana Mkuu
 
Back
Top Bottom