Iam__junior
Member
- Jun 6, 2018
- 25
- 29
Soma kitu unachokipenda ,, hutojutia
Soma unachopenda haina uharisia, nimeferi sayansi Napenda MD je naweza??Soma kitu unachokipenda ,, hutojutia
Kwa mfano, Unadhani kwa nini ulifeli sayansi, na kwanini ulitaka MD??Soma unachopenda haina uharisia, nimeferi sayansi Napenda MD je naweza??
Rudia mtihani ukifaulu ukasome mdSoma unachopenda haina uharisia, nimeferi sayansi Napenda MD je naweza??
Still itahitaji uwe na vigezo ndio usomee MD Ni mfano tu kuonesha suala la ndoto halina reality.Rudia mtihani ukifaulu ukasome md