Naunga mkono hojaUaneni tu. Ila nchini wananchi tuishi kwa amani na tufanye mishe zetu kwa amani.
Hii nayo iongezwe kule kwenye maktaba kwa kumbukumbu.ππππ
Hamna shida, kifo ni kifo tuHuyo mwenye jiwe alikusudia kuua
Hawa tutawafukuza haraka sana ndani ya chama chetu. CCM haimiliki wahuni!!