Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu maradhi yote ugua lkn kuchacha husiombee kabisajamaa anajiabisha hadi hadi anatia kinyaa.Njaa ni kbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu maradhi yote ugua lkn kuchacha husiombee kabisajamaa anajiabisha hadi hadi anatia kinyaa.Njaa ni kbaya sana
WEWE PASCO UNAELEWA MAANA YA NENO DEMOKRASIA? PIA MAANA YA NENO HURU NA HAKI?Wanabodi,
Kwa jinsi nilivyoshuhudia uchaguzi wa marejeo wa Zanzibar, kwa mujibu wa ITV, uchaguzi huu ulikuwa ni huru na wa haki, hivyo tuyasubiri matokeo na kuyapokea na kuyakubali kwa moyo mmoja!.
Kwa mujibu wa sheria yetu ya uchaguzi, kote bara na visiwani, kujiandikisha kupiga kura ni kwa hiyari, pia kutokujiandikisha pia ni hiyari, vivyo hivyo kujitokeza kupiga kura siku ya uchaguzi pia ni hiyari, na kutokujitokeza pia ni hiyari hivyo wote waliojiandikisha lakini hawakujitokeza, wameamua kuitumia demokrasia yao kwa kutokujitokeza kupiga kura.
Kijitokeza kwao, au kutokujitokeza kwao, hakubadilishi matokeo ya uchaguzi kwa sababu sisi tunafuata mfumo wa simple majority kumpata mshindi. Hata kama jimbo lina wapiga kura laki moja, lakini waliojitokeza kupiga kura ni watu 3, hizo kura tatu zitahesabiwa, aliyepata kua mbili ndiye mshindi halali, na uchaguzi huo utaelezwa ni uchaguzi huru na wa haki!.
Ingekuwa ili mtu uwe mshindi ni lazima angalau upate lets say theluthi moja ya kura zote halali, then hao waliosusa, wangesababisha hiyo theluthi isipatikane hivyo kuathiri zoezi zima la uchaguzi, lakini huku kususa kusiko na impact yoyote, ni wastage of time, ndio maana nikauliza hao CUF wanasusa ili iweje?!.
Uchaguzi wa Zanzibar sasa umemalizika, tusubiri matokeo, tuwapongeze washindi na kuwapa pole washindwa!, tusubiri kuapishwa kwa rais mpya wa Zanzibar na maisha yaendelee, maana kiukweli kelele zilizidi mno!. Tena afadhali uishe ili wale wale MCA wailete ile hukua waliyoizuia ili tuitumie kusonga mbele!.
Pasco
Mkuu...Wanabodi,

Wanabodi,

Pasco,mode naomba nisaidie ku edit headline maneno
"Kwa Jinsi Nili" yaondoke, yabaki "Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar, Ni Huru na Haki!, Tuyasubiri Matokeo, Tuyakubali!".
ibaki
Uchaguzi wowote ambao "Tume huru" itamtangaza mgombea wa nafasi ya urais kuwa ni mshindi ni lazima "uwe ni huru na haki". Kama uchaguzi utashindwa kukidhi kipengele hiki "uchaguzi wa marudio" ambao utahakikisha nchi haitolewi kwa vikaratasi ni lazima. Historia ya tokea 1995 imejiandika hivyo.Wanabodi,
Kwa jinsi nilivyoshuhudia uchaguzi wa marejeo wa Zanzibar, kwa mujibu wa ITV, uchaguzi huu ulikuwa ni huru na wa haki, hivyo tuyasubiri matokeo na kuyapokea na kuyakubali kwa moyo mmoja!.
.....
Pasco
Ahahahahahah "moyo wa mtu kichaka"Kuna waandishi wa ajira na waandishi wa wito, wale wa ajira wakiteuliwa hukubali na kufurahi, ila sisi waandishi wa wito, kuandika ndio furaha yetu, hatutaki uteuzi wowote!.
Pasco
Nimecheka sana!Speed without accuracy, ni Tabia ya wanafiki.
Umeongea Jambo sahihi sanaKitu kimoja nachopenda kitokee ktk sheria na kanuni za uchaguzi ni hili la mshindi ni LAZIMA apate 2/3 ya votes zote.
Mimi umenikumbusha huyu mpiganaji (Gabacholi).Nimecheka sana!
Waafrika unyani na utumwa hautatutoka kamwe!!! Ndio maana with all resources and favorable environment..... Tumebaki na maisha ya laana!!!!
Mimi umenikumbusha huyu mpiganaji (Gabacholi).