GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani!
Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald Trump ndiye chaguo la Mungu katika uchaguzi ujao utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Kulingana na matukio yaliyomtokea hivi karibuni ambayo karibia yote yalitanguliwa kutabiriwa kabla ya kutukia, kunamfanya hata mtu asiyeamini katika utabiri alazimike tu kuamini.
Nitatoa baadhi ya hizo tabiri kutoka kwa baadhi ya wahubiri waliomtamtabiria.