jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Nabii wa uongo. Kashfa za Trump zilikuwa zinafahamika kitambo sana kabla hata haijaingia kwenye siasa. Na wengi wa upande huo unaozungungumzia walitaka aingie kwenye siasa.Uebert Angel alishamtabiria mambo kadhaa na yote yakatimia
1. Kabla ya kushtakiwa mahakamani alishaliona hilo na akalisema. Mungu alimwambia kuwa maadui wa Trump wanamtengenezea mitego ya kumkwamisha kwenye mbio za Urais lakini hawatafanikiwa. Mungu aliiweka wazi kuwa atawashangaza mahakamani kwa kumpa Trump ushindi. Huo unabii ulitimia kama ulivyotabiriwa na Uebert Angel
2. Jaribio la mauaji alilitabiri tokea mwaka 2022, na akarudia tena mwaka huu. Hilo nalo limeshatimia.
Ni wazi kuwa unabii wake ni sahihi kwa asilimia mia moja.
Ilikuwa rahisi kufahamu endapo ataingia kwenye siasa, lazima maswali yataulizwa kuhusu matendo yake maovu.
Ndo maana hata ile kashfa yake ya kuhonga muigizaji wa ngono aliyefanya naye ngono isiandikwe kwenye magazeti kabla ya uchaguzi hili asije kukosa kura.
Sishangai akili zenu za ki Mwamposa maana huu utapeli ulianzia marekani maana ulokole umeanzia marekani.
Sema Africa “shit holes “, wamezidisha chumvi, mafuta ie Nwamposa na hata maji hadi kwa TB Joshua.
Pia misukule wengi tu mfano huko kwa tapeli mwingine mwenye kashfa ya ngono pia bwana Gwajiboy.
Need I say more?