GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Exactly!Hakuna Jambo linasikitisha kama Mungu kuhusishwa na siasa ambazo mtu huna hata ufaham nazo wa kutosha
ChaiKama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani!
Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald Trump ndiye chaguo la Mungu katika uchaguzi ujao utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Kulingana na matukio yaliyomtokea hivi karibuni ambayo karibia yote yalitanguliwa kutabiriwa kabla ya kutukia, kunamfanya hata mtu asiyeamini katika utabiri alazimike tu kuamini.
Nitatoa baadhi ya hizo tabiri kutoka kwa baadhi ya wahubiri waliomtamtabiria.
Cha ajabu,hata shetani anao wampendao.Kumchagulia mtu mzima cha kufanya ni changamoto kubwa sana.Trump ni racist convicted felon, mtu yeyote mweusi au minority anayemshabikia lazima atakuwa misinformed or mpuuzi tuu asiye na akili, naona humu wabongo wengi wanamshabikia lakini najua hawamjui kwa hiyo inabidi uwape pass tuu, Trump ana dharau sana watu weusi au chochote ambacho sio white na kila kitu kiko documented na sio story tuu, watu weusi wapumbavu sana
Lakini ni Mungu, Mjuzi wa yote Ndiye aliyesema Trump ndiye Rais ajaye wa Marekani. Maadam Mjuzi wa yote kashasema hakuhitaji tena mjadala. Wewe subiri tu uthibitisho hapo Novemba 2024, tukijaliwa uzima.Hakuna Jambo linasikitisha kama Mungu kuhusishwa na siasa ambazo mtu huna hata ufaham nazo wa kutosha
Na biskuti au kwa matembele?Chai
Mungu haangalii kama binadamu waangaliavyo. Kuna alichokiona kwa Trump ambacho wewe hujakiona. Wakati wewe unayaona mapungufu yake, Yeye (Mungu) anauona uwezo aliomkirimia Trump kwa ajili ya kukamilisha kazi aliyomwagiza kwenda kuifanya aingiapo Ikulu ya White House.Trump ni racist convicted felon, mtu yeyote mweusi au minority anayemshabikia lazima atakuwa misinformed or mpuuzi tuu asiye na akili, naona humu wabongo wengi wanamshabikia lakini najua hawamjui kwa hiyo inabidi uwape pass tuu, Trump ana dharau sana watu weusi au chochote ambacho sio white na kila kitu kiko documented na sio story tuu, watu weusi wapumbavu sana
Watu wa church mnajulikana kwa ujinga, God bless youMungu haangalii kama binadamu waangaliavyo. Kuna alichokiona kwa Trump ambacho wewe hujakiona. Wakati wewe unayaona mapungufu yake, Yeye (Mungu) anauona uwezo aliomkirimia Trump kwa ajili ya kukamilisha kazi aliyomwagiza kwenda kuifanya aingiapo Ikulu ya White House.
Ijapokuwa tu wajinga, hatupotei njiaWatu wa church mnajulikana kwa ujinga, God bless you
Mmepotea siku nyingi hamjui tuuIjapokuwa tu wajinga, hatupotei njia
Isaya 35:8
Huyu katabiri vizuri Hadi kupiga sikio risasi.Mchungaji Brandon yeye aliutoa unabii wake tarehe 14/03/2024. Katika unabii huo, Mungu alimwonesha Trump akiwa kagigwa risasi sikioni jirani kabisa na kichwa. Alimwona Trump akiwa kapiga magoti baada ya kupigwa risasi.
Unabii wake naye ulitimia kama alivyotabiri.