Nabii wa uongo. Kashfa za Trump zilikuwa zinafahamika kitambo sana kabla hata haijaingia kwenye siasa. Na wengi wa upande huo unaozungungumzia walitaka aingie kwenye siasa.Uebert Angel alishamtabiria mambo kadhaa na yote yakatimia
1. Kabla ya kushtakiwa mahakamani alishaliona hilo na akalisema. Mungu alimwambia kuwa maadui wa Trump wanamtengenezea mitego ya kumkwamisha kwenye mbio za Urais lakini hawatafanikiwa. Mungu aliiweka wazi kuwa atawashangaza mahakamani kwa kumpa Trump ushindi. Huo unabii ulitimia kama ulivyotabiriwa na Uebert Angel
2. Jaribio la mauaji alilitabiri tokea mwaka 2022, na akarudia tena mwaka huu. Hilo nalo limeshatimia.
Ni wazi kuwa unabii wake ni sahihi kwa asilimia mia moja.
Kama kuijua kwa ufasaha kesho kabla ya kesho ni kupotea, basi huko ni kupotea kunakolipa. Ingekuwaje kama watu wote wangekuwa na uwezo huo?Mmepotea siku nyingi hamjui tuu
ShitKama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani!
Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald Trump ndiye chaguo la Mungu katika uchaguzi ujao utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Kulingana na matukio yaliyomtokea hivi karibuni ambayo karibia yote yalitanguliwa kutabiriwa kabla ya kutukia, kunamfanya hata mtu asiyeamini katika utabiri alazimike tu kuamini.
Nitatoa baadhi ya hizo tabiri kutoka kwa baadhi ya wahubiri waliomtamtabiria.
Kabla ya Magufuli kufa, kuna watu waliotabiri hilo kutokea.Tunamsingizia Mungu uongo.
Hata magufuli tulisema hivyo hivyo
Lakini bado kuna watu watasema alibahatisha tu. Watu wengi hawajui, au wanajua lakini hawataki watu wengine wajue kuwa:Huyu katabiri vizuri Hadi kupiga sikio risasi.
Mkuu, una uhakika ilikuwa ni rahisi kulibaini hilo? Kuna anayeweza kutabiri bila kukosea mtu atakayekuwa Rais wa Tanzania mwaka 2030?Nabii wa uongo. Kashfa za Trump zilikuwa zinafahamika kitambo sana kabla hata haijaingia kwenye siasa. Na wengi wa upande huo unaozungungumzia walitaka aingie kwenye siasa.
Ilikuwa rahisi kufahamu endapo ataingia kwenye siasa, lazima maswali yataulizwa kuhusu matendo yake maovu.
Ndo maana hata ile kashfa yake ya kuhonga muigizaji wa ngono aliyefanya naye ngono isiandikwe kwenye magazeti kabla ya uchaguzi hili asije kukosa kura.
Sishangai akili zenu za ki Mwamposa maana huu utapeli ulianzia marekani maana ulokole umeanzia marekani.
Sema Africa “shit holes “, wamezidisha chumvi, mafuta ie Nwamposa na hata maji hadi kwa TB Joshua.
Pia misukule wengi tu mfano huko kwa tapeli mwingine mwenye kashfa ya ngono pia bwana Gwajiboy.
Need I say more?
Huyu yeye alioneshwa kuwa atapigwa risasi sikioni na ikawa hivyo! Hilo tu halikushwishi kuwa mtu kama huyo anajua usichokijua?Nabii wa uongo. Kashfa za Trump zilikuwa zinafahamika kitambo sana kabla hata haijaingia kwenye siasa. Na wengi wa upande huo unaozungungumzia walitaka aingie kwenye siasa.
Ilikuwa rahisi kufahamu endapo ataingia kwenye siasa, lazima maswali yataulizwa kuhusu matendo yake maovu.
Ndo maana hata ile kashfa yake ya kuhonga muigizaji wa ngono aliyefanya naye ngono isiandikwe kwenye magazeti kabla ya uchaguzi hili asije kukosa kura.
Sishangai akili zenu za ki Mwamposa maana huu utapeli ulianzia marekani maana ulokole umeanzia marekani.
Sema Africa “shit holes “, wamezidisha chumvi, mafuta ie Nwamposa na hata maji hadi kwa TB Joshua.
Pia misukule wengi tu mfano huko kwa tapeli mwingine mwenye kashfa ya ngono pia bwana Gwajiboy.
Need I say more?
hebu wacha uzushi nawewe. Usimuhusishe Mungu katika uchaguzi wa TrumpKama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani!
Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald Trump ndiye chaguo la Mungu katika uchaguzi ujao utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Kulingana na matukio yaliyomtokea hivi karibuni ambayo karibia yote yalitanguliwa kutabiriwa kabla ya kutukia, kunamfanya hata mtu asiyeamini katika utabiri alazimike tu kuamini.
Nitatoa baadhi ya hizo tabiri kutoka kwa baadhi ya wahubiri waliomtamtabiria.
Kama ukiijua historia ya marekani na mabunduki Yao huwezi shangaa kilichotokea.Watu wanaingia mgahawani na bunduki unategemeaJonathan yeye alitabiri mwezi Februari mwaka huu kuwa kitakuweko na jaribio la kumwua Trump, kama ambavyo ilikuja kutukia mwezi Julai mwaka huu. Kwa hiyo inawezekana kijana aliyehusika kufanya hilo jaribio alitumwa na maadui wa Trump. Pengone, askari aliyemwua huyo kijana alifanya hivyo kwa makusudi ili kuficha ushahidi.
Tuondolee huyo tapeli wako Ubert Angel, gold mafia ambaye kila mara unamrejea.Uebert Angel alishamtabiria mambo kadhaa na yote yakatimia.
1. Kabla ya kushtakiwa mahakamani alishaliona hilo na akalisema. Mungu alimwambia kuwa maadui wa Trump wanamtengenezea mitego ya kumkwamisha kwenye mbio za Urais lakini hawatafanikiwa. Mungu aliiweka wazi kuwa atawashangaza mahakamani kwa kumpa Trump ushindi. Huo unabii ulitimia kama ulivyotabiriwa na Uebert Angel
2. Jaribio la mauaji alilitabiri tokea mwaka 2022, na akarudia tena mwaka huu. Hilo nalo limeshatimia.
Ni wazi kuwa unabii wake ni sahihi kwa asilimia mia moja.
Kwamba huo uchaguzi ni kitu kikubwa sana au kitu kidogo sana?hebu wacha uzushi nawewe. Usimuhusishe Mungu katika uchaguzi wa Trump
Ni kweli, Marekani inaweza ikawa ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa umiliki holela wa silaha. Lakini kwa tukio lililompata Trump, ambalo kimsingi likitanguliwa na utabiri na hatimaye ukatimia kama ilivyoonekana kwenye huo utabiri, sera mbovu ya umiliki silaha hapo haihusiki.Kama ukiijua historia ya marekani na mabunduki Yao huwezi shangaa kilichotokea.Watu wanaingia mgahawani na bunduki unategemea
Anaweza akawa ni "tapeli" kwa tafsiri yako, lakini huo "utapeli" hauwezi kuubatilisha ukweli kuwa alichotabiri kilitimia.Tuondolee huyo tapeli wako Ubert Angel, gold mafia ambaye kila mara unamrejea.
hakuna cha ajabu sana kwenye huo uchaguzi utakaokuja, labda kwa vile Trump atagombea tena kwa mara ya pili ambayo haijawahi kutokea kabla.Kwamba huo uchaguzi ni kitu kikubwa sana au kitu kidogo sana?
Unaelezeaje matukio yaliyotangulia kutabiriwa kabla ya kutukia na yakaja kutimia kama yalivyotabiriwa?
Hakuna Jambo linasikitisha kama Mungu kuhusishwa na siasa ambazo mtu huna hata ufaham nazo wa kutosha
Hakuna sera yoyote ya Trump inayopingana na neno la Mungu ikiwemo ile ya asiyefanya kazi na asile. Utaachaje kupendwa na Mungu?Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani!