Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh!Kama uchaguzi wa marudio wa Kinondoni na Siha ungekuwa huru navwa haki kusungekuwa na maandamano 26/4
Nitagawa kilimanjaro water kwa waandamanaji
Unaotea wapi..?!Ndoto za mchana nzuri
I'll be thereKama uchaguzi wa marudio wa Kinondoni na Siha ungekuwa huru navwa haki kusungekuwa na maandamano 26/4
Nitagawa kilimanjaro water kwa waandamanaji
Unaotea wapi..?!
Umeota nini dear...?
Kwa kumsaidia! Kila mwandamanaji atapewa Zawadi ya kirungu kichwani ili akirudi amsimlie mpendwa wakeOngeza hiyo ofa mkuu waandamanaji wengi makwao maji yapo,vipo wavikosavyo.
Ulipokua mdogo ulikua mtundu sana wewe