uchaguzi wa masomo

uchaguzi wa masomo

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Nina mdogo wangu amemaliza form six masomo ya History, Kiswahili na English.

sasa sijui chuo kikuu anaweza kuchukua masomo gani na kama kazi atafanya kazi gani? msaada wenu.
 
Amepata Division 1 point 9
 
anaweza kusoma bachelor of laws,pia jaribu ku download guide book ya TCU,upate mwongozo zaidi,ila anazo fursa nyingi za kujiendeleza
 
Back
Top Bottom