Uchaguzi wa mwaka huu una mambo kweli kweli, tutupie hapa picha au katuni zinazousiana na uchaguzi huu

Uchaguzi wa mwaka huu una mambo kweli kweli, tutupie hapa picha au katuni zinazousiana na uchaguzi huu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
1601181805903.png
 
Tatizo ambalo lipo kwa CCM mpaka kufikia hatua hii ni kwamba shida ipo ndani ya chama ndani ya system ya chama in inner circle na hapa vita ipo hivi wanaokula kwa unono vs ambao wapo wapo lakini mioyoni hawapo ambao they can reach 80%, ugali was the case how they can putty all members together including me
 
kama mwaka 2015 mtu alibadirisha akaiga motto M4C ikawa magufuli for cahnge,tukajua ccm ndio kwishaa habari yake[emoji28][emoji28]

kuumbee.


Dah ule moto wa 2015 ulikua ni balaaa. Watu hadi walideki na barabara chezea 2015?
 
Hii nchi ni ya chama kimoja...

Wazee wenzangu mnanielewa.. ukiona kama hunielewi,basi jua we bado mtoto.
 
tetesi.......



Hilda Newton

@HildaNewton21


Jeshi la Polisi Wilayani Tarime wakiwa na magari zaidi 10 Wamevamia Kushambulia Msafara wa Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu kwa kutumia Risasi na Mabomu ya machozi muda huu eneo la Nyamongo.. Jackson Mnyawami Katibu kanda ya serenget
 
Back
Top Bottom