Uchaguzi wa mwaka huu una mambo kweli kweli, tutupie hapa picha au katuni zinazousiana na uchaguzi huu

acha uongo hapo yupo na waandishi wa habari
Mkuu usihangaike na watu wa aina hiyo hao ni wale wenzetu ambao bado wako karne ya 19 na msamiati yao kama mabeberu sijui makupe and so on. Hao huwa wanasaidiwa mpaka kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…