Uchaguzi wa mwenyekiti chitchat/piga kura yako

CHAGUA MWENYEKITI WAKO WA CHITCHAT

  • Baba V

    Votes: 0 0.0%
  • Himidini

    Votes: 0 0.0%
  • Nivea

    Votes: 0 0.0%
  • Arabera

    Votes: 0 0.0%
  • Zubedayo_mchuzi

    Votes: 1 50.0%
  • watu8

    Votes: 1 50.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Rejea katika katiba ya chitchat ya 4/june/2013,1734hrs na kupitishwa na bunge la chitchat,kipengele namba 6.kinasema 'Wananchi wana uwezo wa kupiga VOTE OF NO CONFIDENCE kwa mwenyekiti wa mahusiano' SOURCE
Na katiba inamtambua ndugu Chimbuvu tu kama kiongozi wa mpito iwapo uongozi hautaweza kumaliza muda wake,Rejea kifungu cha katiba mpya chitchat kifungu namba 7 cha 4thjune2013,1734hrs,kinasema "Rais ana mamlaka ya kuwavua mamlaka wote walio chini yake na kuwapiga BAN na kumteua Chimbuvu awe kiongozi wa mpito.
Kutokana na malalamiko yaliyoletwa na wananchi wa ChitChat na wengine wakaamua kujitangazia uongozi bila kufuata utaratibu Nivea kuanzia sasa nautangaza huo si uongozi halali katiba inaniruhusu.
Na kwa mamlaka niliyopewa na katiba natangaza uchaguzi wa viongozi wapya ambapo mwenyekiti atakayechaguliwa ataongoza kwa muda wa miezi minne kuanzia 1/8/2013.
Na kazi za mwenyekiti zimeainishwa na zinapatikana kwa mwanasheria mkuu Ruttashobolwa .
wafuatao ndio wagombea wa nafasi hii na kampeni zianze rasmi na wananchi wa CC karibuni kunadi wagombea wenu kuanzia sasa mpaka tarehe moja ambapo mshindi atatangazwa Baba V Himidini Nivea @Arabela zubedayo_mchuzi watu8
 

Hivi mtajifunza lini kuacha kukurupuka..
 
ni bora kwanza hiyo poll ukaifunga hili uwape watu nafasi ya kupendekeza mtu wanao muhitaji alaf pia utoe nafasi kwa mwenyekiti Baba V kukabidhi kiti kisheria si kwa mapinduzi ili amani itawale na cc idumu milele.

Hebu subiri kwanza tuyamalize haya mapinduzi alaf mwenyekiti atatupa muongozo.
 
Last edited by a moderator:
Poll closed mwanasheria mkuu

 
Last edited by a moderator:

Ushauri mzuri umempa..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…