utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
Wakuu salaam.
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka kwa mnyetoshaji wangu aliyepo CHADEMA makao makuu zinaeleza kwamba kuna mgo goro mkubwa umeibuka ndani ya chadema hivi sasa ambapo chama hicho kipo kwny uchaguzi wa ndani na chanzo cha yote haya ni mwenyekiti aliyepo madarakani hv sasa mh Freeman mbowe kuwashughulikia wasiomuunga mkono na wale wanaotaJwa kugombea nafasi hiyo.
Mbowe anatumia gharama kubwa ikiwamo pesa na madaraka kuwafinya wote wanaoonekana kumbua kichwa na kwa kuwawekea maboya katika maeneo Yao wasifurukute kkwenye chaguzi ngazi za chini hususan majimbo mikoa n.a. kanda ambapo ndio wanapatikana wapiga kura as mkutano mkuu wa taifa.
Hakika mbowe ni king muswati na huenda aakafia kwenye kidonda kama nzi